Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Baridi kwetu ni kama joto tuKesho atakua anapumulia mdomo tuu...na hivyo kuna baridi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baridi kwetu ni kama joto tuKesho atakua anapumulia mdomo tuu...na hivyo kuna baridi
Ameen 🙏,tukijaaliwa kesho.......bila shaka utazidisha maombi Wananchi wakufurahishe Tunis-TunisiaUsiku mwema mtani
Usijali...Ameen 🙏,tukijaaliwa kesho.......bila shaka utazidisha maombi Wananchi wakufurahishe Tunis-Tunisia
Unajizima data sio?Tunajipa raha tuu mkuu...maisha ndo haya haya hatutakiwi kuwa serious sana
Mnacheza na Namungo kwani bro?Azizi K utamuona tu watu wakila matobo, usijali
Wazee kama ww ndo hawana ujasiriUnajizima data sio?
Huo ujasiri wa kucomment unautolea wapi?
Mkuu mpira siyo vita,apigwe aogope na kukomenti 🤣🤣Unajizima data sio?
Huo ujasiri wa kucomment unautolea wapi?
🤣🤣🤣Wazee kama ww ndo hawana ujasiri
🤝🙏Usijali...
Nonsense [emoji706]Mcheze kama kawaida yenu mwiko ukiwa ubaning'inia kwa nyuma
Ole wako kesho ufungwe nyingi,utanijuaWeee sema kweli kumbe kazi ya kujitabiria unaiweza sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ikapinduka
Mbona sisi tunawapetpet watani, kuwapunguzia machungu. Au nianzee 😜😜😜😜Ole wako kesho ufungwe nyingi,utanijua
Sie tuko CL wao wako shirikisho wanacheza na wakufeli wenzao,kesho watafungwa watabaki na maneno ya kuwa,waarabu ni wazuri kuliko horoya,Ole wako kesho ufungwe nyingi,utanijua
Haaa,kesho atapanua mno domo lake,mikimbio isiyo na faida,mtamkumbuka feiAzizi K utamuona tu watu wakila matobo, usijali
Kesho watakuwa wa moto baraa,utawasikia,kama ni wabovu nano anaongoza ligi?ndo zao izo,timu lenyewe liko shirikisho,ila linawazarau mabingwaKesho mida kama hii nitakupa mapendekezo ya namna gani mlipaswa mcheze
Fei gani? Acha aendelee kuvua huko visiwani ikiwezekana mchukueni tu........kama hujui Yanga imewahi kutimua Timu nzima sembuse Feisal aliyetoka Singida na matongotongo kibaoHaaa,kesho atapanua mno domo lake,mikimbio isiyo na faida,mtamkumbuka fei
Kibudenga Mtumbad.Kwakumtegemea Boco, Baleke na Kibu ndo wapate point? Basi kazi wanayo ngoja wapigwe 5 kwa mkapa ili akili ziwarudie
Hayo mapendekezo ungempa bocco mapema asinhekuwa anapiga nje badala ya golini na muda huu mngekuwa na point 3 nafasi ya piliKesho mida kama hii nitakupa mapendekezo ya namna gani mlipaswa mcheze
japo mie ni yanga simba leo wamecheza vizuri sana kuliko horoyaNi msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 1:00 usiku atashuka dimbani huko nchini Guinea, kuchuana na Horoya AC katika dimba la Stade General Lansana Conte.
Simba ambao wamejizolea umaarufu linapokuja suala la mechi za kimataifa, wamekuwa wakifanya vizuri sana watashuka dimbani wakiwa na lengo la kupata matokeo mazuri hasa baada ya vinara wa kundi lao Raja kuibomoa Vipers 5-0 katika mchezo uliopigwa jana usiku.
Simba itawakosa baadhi ya wachezaji kama Jonas Mkude, Augustine Okrah, Saido Ntibazonkiza ambao wamebaki nyumbani Tanzania kutokana na sababu mbalimbali.
Mchezo utakuwa mubashara kupitia ZBC2 katika Kisimbuzi cha AzamTv na Chaneli 229 katika kisimbuzi cha DStv.
Karibuni sana kwa live updates...kila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni
View attachment 2513148