FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Tuseme inshallah mkuu,ila mi maombi yangu yapo 50/50😀 mkipigwa fresh,mkipiga inakuwa jambo la kuchukiza sana
Mi nitatoa asilimia zangu kuhusu timu yako baada ya mechi ya kesho

Ila nawasi wasi namba zangu zitakuwa chini sana
 
Najua hujalipia king'amuzi, kesho njoo uangalie Big screen pale Jangwani uangalie mechi ya The citizens
Nina kativii kangu ka chogo mbele flat ndo ntaaangalizia kesho mpira spesho kwa watani zangu Utopwizo..ili niwaone kama piritoni 😆 😆
 
Back
Top Bottom