Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kesho sio mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu nyuzi zao za Yanga hawaonekanagi hadi watu wa Simba wanawasaidia..Mauto sasa yanvyotype kwa kukimbizana
Yamesahau nayo yanasubiriwaMauto sasa yanvyotype kwa kukimbizana
Dstv ni channel ipi maana hapa azam naona maruweHiki ninachokiona hapa Azam ni uchafu, kuanzia video mpaka mtangazaji mwenyewe.
Nirudi DStv tu.
Mabeki wetu wanazubaa sanaHawa jamaa muwe nao makini kwa mipira ya kona na faulo ni warefu na wanajua kutumia urefu wao.
Na Iwe hivyo aiseee....Usijali litarudi
Kesho tia maji tia majiTayari huko washawekwa😂😂😂😂
Timu ya wapi hiiSomba anapigws mkono
Imejaa hofu tu..Ila Simba imewaheshimu sana hawa Horoya
Sio kigezo sana ila ujinga wetu wakuludisha kila mpira nyuma ndio unatuponza..Mijamaa ni mirefu yaani hata Onyango anaonekana mfupi.
Kwahiyo wamesimama tu hawachezi?NB: DK YA 20 SIMBWA .....HAWAJAPIGA SHOOT LOLOTE KWA WAPINZANI[emoji16][emoji16][emoji16]