FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Tuliwaambia msihangaike na mechi ya Yanga ya kesho nanyinyi Leo mna mechi ona kilicho wakuta. Hongera Kwa Manura maana bila yeye mechi ingekua imeisha mapema.
 
Aiseeeh Bocco astaafiswe sasa.
Unaingiza mchezaji ambaye ameishiwa nguvu za miguu kwneye mechi inayohitaji nguvu kama hii. Hata kuruka hawezi. Nilisema toka game haijaanza hii game haikumfaa.
 
Back
Top Bottom