Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #41
Hata angepanga vp leo lazima mtoe damu...mmejichanganyaSimbaa hii Game, kocha kakosea kupanga kikosi.
Yaan sijui hata.
mzee wa mechi kubwa za kirafikiKyombo sidhani kama tutaendelea kuwa naye msimu ujao