Sasa hii itasaidia nini au ndiyo mmewhakata tamaa ya ubingwa? Tupewe kombe letuUnaelewa mechi hii ikaisha bila Simba kufungwa kwa kikosi hiki, hiyo itaonesha nyingi mliofungwa mkiwa full mkoko ni wabovu zaidi?
Bora hiki chetu. Kile chenu kilichocheza na Geita Gold inatakiwa kipigwe dekiInatakiwa mfanye usafi sana kikosi chenu
Hafungwi mtuMajibu yatapatikana 2nd half,simba lazima mtoe damu Leo mmejichanganya
Hamia YangaSawadogo anatoka nje, anaingia Kapama.
Sasa amefanya nn, hawa wote ni wako daraja 1,
Ila simba jaman aaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
anatunza energywapi the goal mashine, jean baleke...?
Huyu Mpiga Zumari wa Armlin ndo wa kumtolea mfano?bin kazumaliView attachment 2583384