Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #341
Unamwambia nani sasaUsichanganywe na comment za humu. Wengine tunafuatilia mechi si kwa kuwa tuna ushabiki wa kulia lia kivile, bali ni wazee wa mikeka. Mfano hapo mimi niliweka under 1.5, kwa hiyo ukiona nachungulia na kutoka, ujue naangalia hela yangu mzee, kiroho kinadunda huku! Naona inakaribia kutiki, cha msingi lisiingie zaidi ya goli moja, hata hilo moja likiwa ni la Yanga mimi sijali, nipo kimaslahi zaidi, nimebana huku goli zisiingie nipate ya dinner