FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Msimu ujao yanga isajili angalau wachezaji 2 wa ihefu ili waisome saikolojia ya ihefu dhidi yao
 
Extra time hainihusu, ili mradi mkeka umekubali huku. Kwa herini washabiki lia lia
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Haya, Kanuni za Papo kwa Papo...Kubebwa kunaendelea... Dk 30 za nyongeza mpaka Utopolo wapiiiiiite..!
Kanuni zimewekwa tokea awali, mpira wakati unaendelea dakika za 60+ mtangazaji katangaza kabisa kuwa kama matokeo yatakuwa hivyo zitaongezwa dakika 30. Halafu kwani hizo dakika zilizoongezwa wanacheza Yanga peke yao? Ihefu wao watakuwa wamefungwa miguu ili wasicheze? Ndio shida ukizoea kucheza mdako
 
Ni mods ndio wamechelewa kufanya mabadiliko kwenye score board au ndio hali halisi iliyopo uwanjani?
 
Kumbe kikosi kilichoanza ni kile chenyewe kabisa?

Mi nilijua wanapata tabu labda kwasababu ya rotesheni
 
Back
Top Bottom