Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #341
Unamwambia nani sasaUsichanganywe na comment za humu. Wengine tunafuatilia mechi si kwa kuwa tuna ushabiki wa kulia lia kivile, bali ni wazee wa mikeka. Mfano hapo mimi niliweka under 1.5, kwa hiyo ukiona nachungulia na kutoka, ujue naangalia hela yangu mzee, kiroho kinadunda huku! Naona inakaribia kutiki, cha msingi lisiingie zaidi ya goli moja, hata hilo moja likiwa ni la Yanga mimi sijali, nipo kimaslahi zaidi, nimebana huku goli zisiingie nipate ya dinner
Mkuu nahisi Nchemba kahonga wachezaji wetu sijaona kabisa bidii ya wazee wakupeleka moto wakiwajibika ipasavyoAisee
Ni Mabingwa wako hawa wa Ligi kuu. Ni mpira tu umewakataa wachezaji walio wengi kwenye mechi ya leo.Hakuna timu hapo...ndo Kiwango chao
Wewe wa 3 lakiniHakuna timu hapo...ndo Kiwango chao
Mimi naona wechezaji wengi leo hawajijutuma kwa kile kiwango chao kilichozoeleka.Sio chini ya kiwango game ipo tough hii
😁😂😂😁😁Kaka hii mechi ngumu sanaMkuu nahisi Nchemba kahonga wachezaji wetu sijaona kabisa bidii ya wazee wakupeleka moto wakiwajibika ipasavyo
Ni Mabingwa wako hawa wa Ligi kuu. Ni mpira tu umewakataa wachezaji walio wengi kwenye mechi ya leo.
Wote wanaodhani mpira wa miguu ni kushabikia tu, kumbe kuna fursa za kupiga mpunga huku umekaa kwenye kochi wakati wanaoumia uwanjani ni akina PacomeUnamwambia nani sasa
Dakika 90 zimekwisha. Sasa wanaend kwenye dakika 30 za nyongeza. Ngoma bado ni 0-0.Dakika ya ngapi?
😂😂😂Kwamba hutaki kujua!?Unamwambia nani sasa
Sijawahi kumwamini Mwigulu, huyo jamaa ni mtu wa bahasha kabisa huenda kahonga vijana wetuLeo wananchi wamecheza chini ya kiwango. Hata wakitolewa, sitashangaa.
Si waliinunua😀Yanga inabidi ikae chini na ihefu wamalize matatizo yao
Chini ya kiwango vipi wakati Diara anamwagiwa sifa kudaka vizuri kuliko golikipa wa Ihefu?Leo wananchi wamecheza chini ya kiwango. Hata wakitolewa, sitashangaa.
Hujui katiba inasemaje? Punguza kulalama mtoto wa kiumeHaya, Kanuni za Papo kwa Papo...Kubebwa kunaendelea... Dk 30 za nyongeza mpaka Utopolo wapiiiiiite..!