MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Simba ongezea taji la diwani, taji la mkurugenzi Njombe, masoko cup, Tegeta Mbuzi cup 😄Msimamo wa Mataji 2023/24 hadi sasa
Simba Mataji 2
Utopolo Taji 1
Mlandege Taji 1
Wengine wote 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ongezea taji la diwani, taji la mkurugenzi Njombe, masoko cup, Tegeta Mbuzi cup 😄Msimamo wa Mataji 2023/24 hadi sasa
Simba Mataji 2
Utopolo Taji 1
Mlandege Taji 1
Wengine wote 0
Sisi fainali hatupati tabu Mkuu kombe letu hili kama mwaka jana tuHongereni, ila mjiandae kisaikolojia dhidi ya wauza lamba lamba
Wameshacheza mara nyingi sana, Ihefu hajawahi kupata matokeoIhefu wangecheza na simba fc, simba wangekufa 5 - 0
Inasikitisha sana 😁🤣Duh ! Huyu mtangazaji wa Azam anashindwa kabisa ngeli ya kumhuji Gamond
Naunga mkono hoja 🤣😁Hii Yanga sasa mashabiki zake tumeichoka kuishangalia wawape kombe makolo yapumzike na Manyele wao
Hakika wamecheza Mpira mkubwa sana.Leo wamekaza mwanzo mwisho. Hata goli walilofungwa ni kutokana tu na ukubwa wa wachezaji wa Yanga.
Si mbaya, mlipata goli kipindi cha 3. Mmepambana.Matokeo ya mchezo wa leo yamenifadhaisha sana; nimepata msongo wa mawazo sana baada ya kuona tumeshindwa kuifunga Ihefu ndani ya 90.
Mangungu mitano teñaMsimamo wa Mataji 2023/24 hadi sasa
Simba Mataji 2
Utopolo Taji 1
Mlandege Taji 1
Wengine wote 0
Tulikaribia kufa kiume aisee! Dah; hawa Ihefu sijui wanatafuta nini kwa YangaSi mbaya, mlipata goli kipindi cha 3. Mmepambana.
Mbna unaiabudu San kingerezamzee acha ufla nenda wewe kamuhojiDuh ! Huyu mtangazaji wa Azam anashindwa kabisa ngeli ya kumhuji Gamond
Afadhari wao kuliko wale wa 7-2Hongereni, ila mjiandae kisaikolojia dhidi ya wauza lamba lamba
Mmepita.Tulikaribia kufa kiume aisee! Dah; hawa Ihefu sijui wanatafuta nini kwa Yanga
Foden kashatupia mbili huko.
Elimu ya madrasa😄😄Mbna unaiabudu San kingerezamzee acha ufla nenda wewe kamuhoji
Msongo wa mawazo umezoeleka sana kwenye vijiwe.Matokeo ya mchezo wa leo yamenifadhaisha sana; nimepata msongo wa mawazo sana baada ya kuona tumeshindwa kuifunga Ihefu ndani ya 90.