FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Kwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,

Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....

Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
We huzielewi hizi kanuni za kombe hili. Miaka yote ipo hivo ndiyo maana match,zinaanza kuchezwa saa tisa na nusu coz wangeanza saa kumi kamili game ikiisha dak 90 draw zikiongezwa dak 30 nazo zikaisha kwa draw basi matuta yanaweza kupigwa gizan maana viwanja hivyo havina taa!
 
Kwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,

Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....

Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
Kwahiyo unataka kusema jana Azam kacheza na Coastal union pasipo kujua sheria inasemaje hatua ya nusu fainali endapo ikitokea wametoka sare?
Unataka kusema kuwa wakati Yanga na Ihefu wanakutana hawajui sheria iliyopo ni ipi?
Unajua kwanini mechi imeanza kuchezwa mapema saa tisa na nusu?
Punguza kujiabisha.
 
Msimamo wa Mataji 2023/24 hadi sasa
Simba Mataji 2
Utopolo Taji 1
Mlandege Taji 1
Wengine wote 0
 
Farid anakua miongoni mwa wachezaji wa kuingia na kutolewa ndani ya muda mfupi
 
We huzielewi hizi kanuni za kombe hili. Miaka yote ipo hivo ndiyo maana match,zinaanza kuchezwa saa tisa na nusu coz wangeanza saa kumi kamili game ikiisha dak 90 draw zikiongezwa dak 30 nazo zikaisha kwa draw basi matuta yanaweza kupigwa gizan maana viwanja hivyo havina taa!
😑😑 dah!viwanja vyetu vya bongo vina shida, mameneja wa hivi viwanja inabidi wajifunze kutokana na makosa
 
Back
Top Bottom