FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Hii Yanga haya akija Arsenal tunamkanda .!🤸
Ningekuwa kijana usingechomoa. Napenda sana pisi zinazoshabikia Yanga maana ziko extremely smart na humble. Yanga for life!

downloadfile-296.jpg
 
𝐅𝐮𝐥𝐥 𝐓𝐢𝐦𝐞 (𝐒𝐡𝐞𝐢𝐤𝐡 𝐀𝐦𝐫𝐢 𝐀𝐛𝐞𝐢𝐝 𝐊𝐚𝐥𝐮𝐭𝐚)

𝐈𝐇𝐄𝐅𝐔 0 - 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 1

𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐈𝐍𝐆𝐈𝐀 𝐅𝐀𝐈𝐍𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐂𝐑𝐃𝐁 𝐅𝐄𝐃𝐄𝐑𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍 𝐂𝐔𝐏 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐀𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐀𝐙𝐀𝐌 𝐅𝐂
 
Hongereni, ila mjiandae kisaikolojia dhidi ya wauza lamba lamba
 
Yanga haikuwa na mechi Nzuri sana leo

Lakini hongera kwa kwenda fainali
 
𝐅𝐮𝐥𝐥 𝐓𝐢𝐦𝐞 (𝐒𝐡𝐞𝐢𝐤𝐡 𝐀𝐦𝐫𝐢 𝐀𝐛𝐞𝐢𝐝 𝐊𝐚𝐥𝐮𝐭𝐚)

𝐈𝐇𝐄𝐅𝐔 0 - 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 1

𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐈𝐍𝐆𝐈𝐀 𝐅𝐀𝐈𝐍𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐂𝐑𝐃𝐁 𝐅𝐄𝐃𝐄𝐑𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍 𝐂𝐔𝐏 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐀𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐀𝐙𝐀𝐌 𝐅𝐂
Kumbe huyu ni mwingine tofauti na mzee Karume yule wa Zanzibar?
 
Back
Top Bottom