Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waulizedi CRDBMbona simba na mashujaa dakika hazikuongezwa?
Kushindwa tu kufikia hatua ni moja ya sababu ya kuonekana uwezo hauna. Umeshindwa kuifunga timu iliyokuwa pungufu tokea kipindi cha kwanza. Nyie si ndio hamjui kitu kabisaHata mimi mpira ukichezwa dakika 100 sikukosi
Kanuni zimewekwa tokea awali, mpira wakati unaendelea dakika za 60+ mtangazaji katangaza kabisa kuwa kama matokeo yatakuwa hivyo zitaongezwa dakika 30. Halafu kwani hizo dakika zilizoongezwa wanacheza Yanga peke yao? Ihefu wao watakuwa wamefungwa miguu ili wasicheze? Ndio shida ukizoea kucheza mdako
Uliangalia mpira😂Mbona simba na mashujaa dakika hazikuongezwa?
Pitcha ya Sheikh Amri Abeid na ile ya Kirumba Mwanza haijawahi kuwa na shida.Pitch ni rafiki kuchezea?
Hii ni nusu fainali siyo kulinganisha na cha ndimu!Mbona simba na mashujaa dakika hazikuongezwa?
Huyu siku akipigwa mfululizo inaonekana ni mtu wa kupanic ni vile amekuwa na msimu mzuri hivyo upande wake wa pili wa shilingi hajapata nafasi ya kuuonyesha.Halafu hicho kibabu kinazingua.
Game zote ambazo anaelemewa amekuwa ni mtu wa fujo.
Atulie tu
120Mh huu mpira unachezwa dakika ngapi kwani waga!
Nicheck kule x.com Jina hilo hilo stow awayNilikuwa nameremeta na manjano yangu Leo..!😂😂
Yanga for Life C'ssy Shaddie..!!💛💚💛💚View attachment 2994008
Young Africans to the final
Leo wamekaza mwanzo mwisho. Hata goli walilofungwa ni kutokana tu na ukubwa wa wachezaji wa Yanga.Hawa IHEFU wangecheza msimu mzima kama walivyocheza Leo, basi wangekuwa nafasi ya pili, Azam tatu na Simba nne.
Kwani izo dak za nyingeza wanacheza akina nani ? si hao hao waendelee kukamiana acha kelele zisizokua na maanKwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,
Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....
Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!