FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Simba wakati rufaa, ratiba ya Leo wanatakiwa kucheza na Singida badala yake wameletewa Ihefu.

Hili jina la Ihefu likatiwe rufaa.
 
Ihefu waache kuniiga nimemwaga sasa hivi ki1 nao tayari huko
image-2024-04-13-17:03:09-198.jpg

Kama kweli ni team imekamilika narudia kingine nao wajibu mapigo huko!
 
Back
Top Bottom