ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo nini mkuuIhefu waache kuniiga nimemwaga sasa hivi ki1 nao tayari hukoView attachment 2962429
Kama kweli ni team imekamilika narudia kingine nao wajibu mapigo huko!
Bado hamjasema sasa mmehamia kwa wachezaji vipi Mangungu na Try Again wabakie?wachezaji wa Simba ni mzigo kuanzia kipa ni hovyo fukuza team nzima game zilizo baki wacheze under20
Tuendelee Sub NzuriKwa kikosi hiki tukifungwa hakuna haja ya kufanya hamasa 20th April.
Kocha awe mwepesei kufanya mabadiliko.
Natamani Freddy na Jobe wabadilishane nusu kwa nusu.
Babakar hayupo kikosini kabisa. Anaumwa?
au ndio plan ya 20th April?
Form three?? Ulikuwa unasoma topic ya matrixNilikua form three
We emu muache huyoAbee
Khaa! Labda elimu ya menka😂Mtoto mbiiiichi kipindi hicho umri nakisia miaka 19
Sub Zero au SIO?Tuendelee Sub Nzuri
Ndio nmefurah sana😂💪🏾Unacheka Kolowizard kufungwa
YesForm three?? Ulikuwa unasoma topic ya matrix
Kwa hio form 3 ulikua na Miaka 16Khaa! Labda elimu ya menka😂
Hii Sub ni nzuri.Mungu anajua sababu kwanini myapitie haya....
hiyo nini mkuu
NdioKwa hio form 3 ulikua na Miaka 16
Sasa hii ndio Simba niyoijua mimi, Simba ya kushikana uchawi.Benchika ni kocha pekee mwenye bahati kuwa Simba tangu Simba ianzishwe 1936 huyu kocha ni hana plan kabisa