FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

wachezaji wa Simba ni mzigo kuanzia kipa ni hovyo fukuza team nzima game zilizo baki wacheze under20
Bado hamjasema sasa mmehamia kwa wachezaji vipi Mangungu na Try Again wabakie?
 
Kwa kikosi hiki tukifungwa hakuna haja ya kufanya hamasa 20th April.

Kocha awe mwepesei kufanya mabadiliko.

Natamani Freddy na Jobe wabadilishane nusu kwa nusu.

Babakar hayupo kikosini kabisa. Anaumwa?

au ndio plan ya 20th April?
Tuendelee Sub Nzuri
 
IMG-20240410-WA0160.jpg
 
Back
Top Bottom