FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Angalau Simba wanashambulia Hawa Simba watakuwa wanacheza mind game dhidi ya Yanga ili tuwapuuze tuwe makini nao[emoji23]
Wako hali mbaya halafu wapoteze mechi kwa ajili ya kuisubiri YANGA?. Si bora atugonge hutu tudogo dogo huku akijipanga hata sare dhidi ya YANGA
 
Inamaana Ihefu wanataka droo.

😂😂😂
 
Bado dk 10 na 7 za Nyongeza game iishe
 
Back
Top Bottom