FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Tarehe 20 kuna possibility ya kupigwa mtu mkono tena.
 
[emoji23][emoji23] aseee match ijayo landa tiifu efu awaokoe au mje na mbinu za Azam mcheze karatee uwanjani
 
Benchika yaani kimoyoyo anajuta kuja Kolo FC,bora angebakia kwao afundishe hata timu zinazo cheza cha ndimu
Benchika anahitaji wachezaji Wazuri tu Ili kujijenga upya Simba, jambo linalowezekana wenye timu wakiamua.
 
Haya nawakumbusha mkaendelee kudiscuss Intvw ya Mayele,Goli la Aziz K,Yanga na sakata lake la usajili FIFA.

Msihofu timu mnayo endeleeni kujificha kwenye vichaka vya Yanga.
 
Asante Ihefu..

Makolo tukutane Tar 20
PXL_20240413_145655415.jpg
 
Back
Top Bottom