FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Simba ondoa FRED, JOBE, MICQUISON, ONANA, NGOMA....hawa ni mzigo kwa sasa. NGOMA anaonyesha kuchoka, kwa sasa hana physique....
Ok naye BENCHIKA hana uwezo mkubwa wa kusoma mchezo hasa ktk sub zake.
Game ya leo haikuwa ya kumtoa CHAMA pale mbele...
Game ambazo SAIODOO zinamgomea utaona hadi dk 85..
Kwa kifupi BENCHIIKA ange - EXIT tu sioni akijenga team ya matumaini in future
....
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
FB_IMG_1710258282121.jpg
 
Back
Top Bottom