FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Ndugu zangu tarehe 20 ntawapiga kama ngoma naziona 7 [emoji23][emoji16]
Mechi ya Simba vs Yanga, huwa naziheshimu sana ina mambo mengi sana kama surprise. Unaweza kuwa bora na ukafungwa au ukapata sare. Yanga ya Nabi ilikuwa bora ila akapigwa goli mbili za fasta na ngoma ikaisha hivyo
 
Simba ikitaka kuifunga Yanga ishinde zaidi ya goli tatu ndani ya Dakika 20 za mwanzo na kisha ipaki bus tofauti na hapo ni kichapo mwanzo mwisho au itafute draw kwa kupaki basi mwanzo mwisho. Mpaka sasa kisaikolojia Simba tushamfunga [emoji23]
 
Hiyo ndio inaitwa kuja na matokeo uwanjani. Kila mmoja hadi mashabiki wa Simba wenyewe wanaamini kuwa tarehe 20 watafungwa. Kitakachofanyika ni wachezaji watahakikisha wanaenda kuwa prove wrong na hilo kwenye mpira wa miguu linawezekana. Ni sawa sawa na alivyofanyiwa Yanga ya Nabi kwenye ile game iliyoisha 2-0.
 
Wewe endelea kujidanganya na timu yako mbovu hiyo,ukija kizembe kama leo na timu yako mbovu ukiingia kwenye mfumo wa Gamond kono la nyani linakuhusu tena.
 
Huyo Graphic designer wao kimeo mnamuita Admin kanjanja Ila Ihefu haipo IPO Singida Black Stars Ihefu ishafutwa
Msemaji wao amesema mpaka sasa timu inaitwa Ihefu.
Jina jipya litaanza msimu mpya wa Ligi utakapoanza.
Wameamua kulitambulisha mapema ili lizoeleke ili msimu mpya ukianza watu wasije kudhani ni timu mpya.
 
Wewe endelea kujidanganya na timu yako mbovu hiyo,ukija kizembe kama leo na timu yako mbovu ukiingia kwenye mfumo wa Gamond kono la nyani linakuhusu tena.
Naongelea mpira, siongelei kishabiki, kama swala la ushabiki mimi sio shabiki wa Simba. Nachosema Mechi ya Simba na Yanga huwa hazitabiriki. Na huwezi kukuta Simba ilivyocheza leo ndivyo itakayocheza hivyo hivyo dhidi ya Yanga.
Ndio maana nikatoa mfano ile mechi Yanga inafungwa goli 2-0 unataka kusema Simba ilikuwa bora kuliko Yanga?
 
Mechi ya Simba vs Yanga, huwa naziheshimu sana ina mambo mengi sana kama surprise. Unaweza kuwa bora na ukafungwa au ukapata sare. Yanga ya Nabi ilikuwa bora ila akapigwa goli mbili za fasta na ngoma ikaisha hivyo
Ila tarehe 20 hautoboi mkuu
 
Simba itakuja kivingine safari hii ...
Sawa mkuu
20240413_191106.jpg
 
Naongelea mpira, siongelei kishabiki, kama swala la ushabiki mimi sio shabiki wa Simba. Nachosema Mechi ya Simba na Yanga huwa hazitabiriki. Na huwezi kukuta Simba ilivyocheza leo ndivyo itakayocheza hivyo hivyo dhidi ya Yanga.
Ndio maana nikatoa mfano ile mechi Yanga inafungwa goli 2-0 unataka kusema Simba ilikuwa bora kuliko Yanga?
Weka na mfano ya 5 moyaa
 
N MARUDIO kama uliwahi soma post zangu......

laanza za kuwaacha BALEKE na phoriii hazoawezi waacha kamwe msahau
 
Wewe endelea kujidanganya na timu yako mbovu hiyo,ukija kizembe kama leo na timu yako mbovu ukiingia kwenye mfumo wa Gamond kono la nyani linakuhusu tena.
Huyo ni mwana yanga mwenzetu na anacho kisema ni chakweli.
Mechi za daby ni zahajabu sana.

Hata msimu uliopita mechi ya mzunguko wa pili, sikutegemea kama Simba angetufunga ile game, lakini mwisho wa siku tulipoteza kwa bao mbili bila, game abayo ilimpa kiki Kib Denis.

Kwakweli mtani ni mbovu na amejichokea lakini daby tuipe heshima yake.
 
Back
Top Bottom