changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
5 -1 imetokana na Simba kushindwa kumuheshimu Yanga. Kutaka kupishana na Yanga ikamponza hivyo walizidiwa kimbinu.Weka na mfano ya 5 moyaa
Tukumbuke ilikuwa kocha mwingine na huyu ni mwingine, na mazingira pia yanaweza kuwa ni tofauti. Ni mechi ipi ya Yanga na Simba iliwahi kutabirika kiuwepesi ukiachana na hiyo 5-1?