Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mbona husemi msimu huu nyie wabovu na Yanga yupo moto na mkala goli tano round ya kwanza?Naongelea mpira, siongelei kishabiki, kama swala la ushabiki mimi sio shabiki wa Simba. Nachosema Mechi ya Simba na Yanga huwa hazitabiriki. Na huwezi kukuta Simba ilivyocheza leo ndivyo itakayocheza hivyo hivyo dhidi ya Yanga.
Ndio maana nikatoa mfano ile mechi Yanga inafungwa goli 2-0 unataka kusema Simba ilikuwa bora kuliko Yanga?