FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Tusisahau Ihefu Asilia iliifunga Uto.. Ihefu Yanga ikafungwa na Uto
 
Maskini thimbaaa, kila mtu anajifungia tu limekuwa timu la hovyo sana
 
Na Hicho kiporo mkicheze haraka. Tarehe 20 tuwe sawa mechi, muache janja janja mshenzi.
Hilo halipo TFF na bodi ya ligi wameamua kumuendelezea Simba kiporo.
Simba hatocheza tena hadi tarehe 20 dhidi ya Yanga.
Leo Azam anacheza mzunguko wa 22 huku kesho Yanga anaenda kucheza mzunguko wa 21 wakati Simba mtoto wa TFF atacheza derby huku akiwa nyuma kwa idadi ya mechi Kitu pekee cha kuwakatisha tamaa ni Yanga ashinde mechi zake zote hadi hiyo ya tarehe 20.
 
Back
Top Bottom