mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Achana na utabiri fanya shughuli nyingineUtabili wangu, Ihefu 0 - 4 Yanga.
Kuna goli moja litakataliwa, lasivyo Ihefu angekua anakufa 5 leo.
Mzize anarudi kambani mala mbili.
Mpira sio nyeto tutizame kitakachojiri
Ya kweli haya?Huyu Mzize NI balaaaaaaaa ipo siku kila mtu atakiri [emoji2957][emoji91][emoji91][emoji91]
Mpira sio nyeto tutizame kitakachojiri
I think ni wanachama wa utopolo 😂Modes wamesusa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inaonekana mods walibetia timu mbovu
Lol.Amebakia Max Nzegel tu kuingia ili lawama ziishe[emoji23][emoji23]
Kwa nini hawataki kubadilisha?Inaonekana mods walibetia timu mbovu
Bado una nguvu za kutazama hii mechi?Lol.
I think ni wanachama wa utModes wamesusa
Kwani hajui kuchupa?Ufupi wa Diarra unalaumiwa kusababisha bao..!
Nashukuru nawewe umeliona hiloRefa anawatafutia bao Waja