Aisee. Duuh
Dharau zake zimeiponza timu. Baada ya hii mechi atajifunza bila shaka.Naanza kukosa imani na huyu Gamondi, hii game ilitakiwa tuimalize kipindi cha kwanza ukizingatia matokeo ya last year kwenye uwanja huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni kudharau mechi Rotation za kipumbavu zinawacost.
Nilikustua mapema mtani 😂Hatimaye historia imejirudia.
Mechi imeisha hiyo.Siongei sana hadi mpira uishe ,natamani Ihefu wakaze hivi lakini ni kama siamini
Dharau zake zimeiponza timu. Baada ya hii mechi atajifunza bila shaka.
Hakika mkuuLeo ndio mwisho wa zile kelele za Simba haichezi vizuri
Dharau zake zimeiponza timu. Baada ya hii mechi atajifunza bila shaka.
Hamna Mkuu ni mapema sana kumlaumu Gamondi.Naanza kukosa imani na huyu Gamondi, hii game ilitakiwa tuimalize kipindi cha kwanza ukizingatia matokeo ya last year kwenye uwanja huu.