Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wakere sana mkuuLeo mtanikoma hakyanani na mtaniua kwa Furaha na nitawakereni hadi muombe poo.....!!
Kudadadeki.......!!
Wamesha pokea mkuu hongera sanaNi haki kulipa kisasi...
Ihefu wajiandae kupokea kipondo.
Daahhh..eti kizalendoGooooooooaaaaal kizalendo kabisa utopolo ana papaswa na ihefu
Mke alichapwa msimu uliopita, safari hii ni kapewa mimba. ihefu kaleta kichefuchefu.Hii gemu imeniuma sana maumivu yake ni kama ya kuchapiwa mke 😪
Chura kamwagiwa maji hawezi kuogelea, Maajabu
[emoji16][emoji16] hujasemaMi naona Gamondi kawachezea trick na wenyewe wamejaa.... Kumbuka kawaweka hao makusudi Tu ili wachoshane Ila kipindi cha pili game itakua rahisi Sana...
Bora ww unayekubali matokeoAdabu imetushika..[emoji28]