FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Poa mechi ishaisha semeni yote si tumefungwa inatosha leo pikeni pilau mle..😅
Sisi hatuwezi kusema yote, nyinyi ndio mtasema yote

Mtatueleza ni nani aliyekuwa anasema Simba inacheza vibaya. Ni nani alikuwa anasema Simba inashinda lakini mashabiki wake hawana furaha.

Leo ndio mtajua kipi bora. Kucheza vizuri na ukafungwa ukaondoka na huzuni na faraja ya kimafki kuwa umepambana (umecheza vizuri)

Au ucheze hovyo ila upate matokeo mazuri

Ni selection kati ya kuchagua punda au mlio wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…