FT: J.Galaxy vs Asec: 0-2, kwa matokeo haya kundi la Simba limezidi kuwa gumu

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Asec Mimosas wamewacharaza Jwaneng Galaxy nyumbani kwao kwa goli 2-0.

Na sasa wana jumla ya pointi 7, Asec wana mechi mbili za nyumbani dhidi ya Galaxy na Simba, na moja ya ugenini dhidi ya Wydad

Screenshot_20231209-175332.png
 
Hapa Sasa ngoma ishakua ngumu zaidi kwa Simba. Ili galaxy afuzu inabd game ijayo dhidi ya wydad ashinde na dhidi ya Simba ashinde au sare, Simba naye inabd game dhidi ya wydad Leo ashinde au adroo then 2 kati ya 3 zijazo ashinde ili afuzu while wydad game zote 3 mfululizo kuanzia ya Leo ashinde zote. Asec anahitaji mechi moja tu kufuzu robo
 
Hawa wanafuzu wiki ijayo kwa kufikisha point kumi. Mechi ya marudiano Galaxy atapigwa tena. Galaxy wamebahatisha kumfunga Wydad na kutoa sare na Simba ila ni timu mbovu inayobebwa na bahati na nidhamu ya ulinzi. Kazi itakuwa kwa Simba na Wydad kutafuta nafasi ya pili.
 
Hayo ni matokeo mazuri sana kwa Simba. Simba inakuja kucheza na ASEC katika mechi ya mwisho huku inaonyesha ASEC tayari ikiwa imejihakikishia kuvuka hatua inayofuata.

Simba inahitaji ushindi katika mechi moja dhidi ya Wydad na itapendeza vizuri huo ushindi ukawa leo ili mechi ya marudiano isiwe na pressure sana, iwe ya kutafuta hata sare tu. Najua Galaxy hawezi kupona kwa Mkapa safari hii.
 
Hayo ni matokeo mazuri sana kwa Simba. Simba inakuja kucheza na ASEC katika mechi ya mwisho huku inaonyesha ASEC tayari ikiwa imejihakikishia kuvuka hatua inayofuata...
Mzee seriously kabisa kwamba ni nafuu kwa Simba? Hapo kila timu hado Ina nafasi ya kufikisha point 10 mkuu. Hapo ndo kwenye mtego. Asec lazima anahitaji nafasi ya kwanza ili apate tiny saiz yake robo 🤣. Jaman muwe mnafikiria vzur
 
Kabla haujaanza kusema wengine hawafikiri vizuri, nawe jitafakari inawezekana wewe ndiyo haufikiri vizuri. Hakuna aliyesema hao wengine hawawezi kufuzu na suala siyo point tu, suala unacheza na timu nyingine katika nyakati gani katika kukaribia kufuzu na uwezo wa kulazimisha matokeo katika hatua ya mwisho unatofuatiana kutokana na uzoefu wa wachezaji na timu.
 
Nakubali mkuu. Point yangu ya msingi ni kwamba kundi la Simba pia lishakua gumu kwa timu tatu za chinj Yani Simba,wydad na galaxy

Cha msingi Simba ye aangalie kushinda tu iwe ugenini au nyumbani.
 
Nakubali mkuu. Point yangu ya msingi ni kwamba kundi la Simba pia lishakua gumu kwa timu tatu za chinj Yani Simba,wydad na galaxy
Matokeo yoyote ya leo katika hiyo mechi bado ugumu ungeendelea kuwepo, hapa nilikuwa naongelea matokeo gani ni nafuu zaidi kati ya matatu ambayo yangeweza kutokea.
 
Hii timu ni kama washabiki tupo serious kuliko wachezaji, Asec ilifaa afe kwa mkapa tukamchekea, jwaneng ilifaa afe kwake tukamchekea tena. RIP Simba tujaribu tena mwakani.
 
Hayo ni matokeo mazuri sana kwa Simba. Simba inakuja kucheza na ASEC katika mechi ya mwisho huku inaonyesha ASEC tayari ikiwa imejihakikishia kuvuka hatua inayofuata.

Simba inahitaji ushindi katika mechi moja dhidi ya Wydad na itapendeza vizuri huo ushindi ukawa leo ili mechi ya marudiano isiwe na pressure sana, iwe ya kutafuta hata sare tu. Najua Galaxy hawezi kupona kwa Mkapa safari hii.
Nafikiri game ya mwisho SIMBA tunamaliza na jwaneng nyumbani.
 
Hapa Sasa ngoma ishakua ngumu zaidi kwa Simba. Ili galaxy afuzu inabd game ijayo dhidi ya wydad ashinde na dhidi ya Simba ashinde au sare, Simba naye inabd game dhidi ya wydad Leo ashinde au adroo then 2 kati ya 3 zijazo ashinde ili afuzu while wydad game zote 3 mfululizo kuanzia ya Leo ashinde zote. Asec anahitaji mechi moja tu kufuzu robo
Simba hatoboi leo lazima akamiwe
 
Hao wafuga vitambi Jwaneng Galaxy hawafiki popote ni either simba ama wydad wanawareplace hao vitambi fc.
 
Huyu ASEC ameshindikana,kila mwaka anauza wachezaji wake wazuri lakini bado timu yao inakuwa imara sana,aiseee hawa jamaa ni habari nyingine!
Wana academy na scouting making. Siyo kama Simba wanasajili kwa mhemko.
 
Back
Top Bottom