FT: J.Galaxy vs Asec: 0-2, kwa matokeo haya kundi la Simba limezidi kuwa gumu

FT: J.Galaxy vs Asec: 0-2, kwa matokeo haya kundi la Simba limezidi kuwa gumu

Yaani ile gemu ya Botswana simba alitakiwa amalize kabisa.sijui tunafeli wapi
 
Itakua dharau mwarabu leo akifufukia kwa simba
 
Hayo ni matokeo mazuri sana kwa Simba. Simba inakuja kucheza na ASEC katika mechi ya mwisho huku inaonyesha ASEC tayari ikiwa imejihakikishia kuvuka hatua inayofuata.

Simba inahitaji ushindi katika mechi moja dhidi ya Wydad na itapendeza vizuri huo ushindi ukawa leo ili mechi ya marudiano isiwe na pressure sana, iwe ya kutafuta hata sare tu. Najua Galaxy hawezi kupona kwa Mkapa safari hii.
Mnavyocheza mpira mdomoni kama mna timu ya maana vile
 
Hii timu ni kama washabiki tupo serious kuliko wachezaji, Asec ilifaa afe kwa mkapa tukamchekea, jwaneng ilifaa afe kwake tukamchekea tena. RIP Simba tujaribu tena mwakani.
Uwezo wenu ndio ulifika mwisho mkuu wale asec kwa mkapa waliwazidi kila kitu uwanjani
 
Back
Top Bottom