Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mzee seriously kabisa kwamba ni nafuu kwa Simba? Hapo kila timu hado Ina nafasi ya kufikisha point 10 mkuu. Hapo ndo kwenye mtego. Asec lazima anahitaji nafasi ya kwanza ili apate tiny saiz yake robo 🤣. Jaman muwe mnafikiria vzurHayo ni matokeo mazuri sana kwa Simba. Simba inakuja kucheza na ASEC katika mechi ya mwisho huku inaonyesha ASEC tayari ikiwa imejihakikishia kuvuka hatua inayofuata...
Kabla haujaanza kusema wengine hawafikiri vizuri, nawe jitafakari inawezekana wewe ndiyo haufikiri vizuri. Hakuna aliyesema hao wengine hawawezi kufuzu na suala siyo point tu, suala unacheza na timu nyingine katika nyakati gani katika kukaribia kufuzu na uwezo wa kulazimisha matokeo katika hatua ya mwisho unatofuatiana kutokana na uzoefu wa wachezaji na timu.Mzee seriously kabisa kwamba ni nafuu kwa Simba? Hapo kila timu hado Ina nafasi ya kufikisha point 10 mkuu. Hapo ndo kwenye mtego. Asec lazima anahitaji nafasi ya kwanza ili apate tiny saiz yake robo 🤣. Jaman muwe mnafikiria vzur
Kabla haujaanza kusema wengine hawafikiri vizuri, nawe jitafakari inawezekana wewe ndiyo haufikiri vizuri. Hakuna aliyesema hao wengine hawawezi kufuzu na suala siyo point tu, suala unacheza na timu nyingine katika nyakati gani katika kukaribia kufuzu na uwezo wa kulazimisha matokeo katika hatua ya mwisho unatofuatiana kutokana na uzoefu wa wachezaji na timu.
Matokeo yoyote ya leo katika hiyo mechi bado ugumu ungeendelea kuwepo, hapa nilikuwa naongelea matokeo gani ni nafuu zaidi kati ya matatu ambayo yangeweza kutokea.Nakubali mkuu. Point yangu ya msingi ni kwamba kundi la Simba pia lishakua gumu kwa timu tatu za chinj Yani Simba,wydad na galaxy
Nafikiri game ya mwisho SIMBA tunamaliza na jwaneng nyumbani.Hayo ni matokeo mazuri sana kwa Simba. Simba inakuja kucheza na ASEC katika mechi ya mwisho huku inaonyesha ASEC tayari ikiwa imejihakikishia kuvuka hatua inayofuata.
Simba inahitaji ushindi katika mechi moja dhidi ya Wydad na itapendeza vizuri huo ushindi ukawa leo ili mechi ya marudiano isiwe na pressure sana, iwe ya kutafuta hata sare tu. Najua Galaxy hawezi kupona kwa Mkapa safari hii.
Mnaweza mkapasukia hapo hapo nyumbani.Nafikiri game ya mwisho SIMBA tunamaliza na jwaneng nyumbani.
Uko sahihi. Nilidhani Asec ndiyo game ya mwisho. Ila kwa mtazamo wangu haibadili sana kile ninachoona.Nafikiri game ya mwisho SIMBA tunamaliza na jwaneng nyumbani.
Simba hatoboi leo lazima akamiweHapa Sasa ngoma ishakua ngumu zaidi kwa Simba. Ili galaxy afuzu inabd game ijayo dhidi ya wydad ashinde na dhidi ya Simba ashinde au sare, Simba naye inabd game dhidi ya wydad Leo ashinde au adroo then 2 kati ya 3 zijazo ashinde ili afuzu while wydad game zote 3 mfululizo kuanzia ya Leo ashinde zote. Asec anahitaji mechi moja tu kufuzu robo
Wana academy na scouting making. Siyo kama Simba wanasajili kwa mhemko.Huyu ASEC ameshindikana,kila mwaka anauza wachezaji wake wazuri lakini bado timu yao inakuwa imara sana,aiseee hawa jamaa ni habari nyingine!