Hayo ni matokeo mazuri sana kwa Simba. Simba inakuja kucheza na ASEC katika mechi ya mwisho huku inaonyesha ASEC tayari ikiwa imejihakikishia kuvuka hatua inayofuata.
Simba inahitaji ushindi katika mechi moja dhidi ya Wydad na itapendeza vizuri huo ushindi ukawa leo ili mechi ya marudiano isiwe na pressure sana, iwe ya kutafuta hata sare tu. Najua Galaxy hawezi kupona kwa Mkapa safari hii.