FT: Jangwani kumenoga | CFFA 0-4 Yanga SC | CAFCL | Azam Complex | 17 Oktoba, 2026

FT: Jangwani kumenoga | CFFA 0-4 Yanga SC | CAFCL | Azam Complex | 17 Oktoba, 2026

Baada ya kupoteza katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Yanga imerejea kwa kishindo na kuichapa CFFA ya Madagascar katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.

Yanga ambayo katika Raundi ya Kwanza iliiondoa Gaborone United ya Botswana kwa magoli 3-2 huku kiwango kikiwapa shaka mashabiki, imejiweka katika nafasi nzuri ya kucheza Hatua ya Makundi kwa kuwa inasubiri mchezo wa marudio unaotarajiwa kupigwa Oktoba 21, 2026 yanga uwanja huohuo wa Azam Complex.
Yanga wamepiga bomu mochware
 
Tangu Diarra aje yanga mmechukua ushindi kwa yanga mara ngapi??
Sisi tumewafunga mara Sita, Je nyie ?
Mtu anayetaka kulia anajulikana tu, Yanga imefungwa na Simba, mabao ya Mpanzu na Maema.
Diarra chaliiiiii 😂😂😂😂
 
10 Haiwezekani labda 2 au 3,historia inaonesha Simba ikiwa kwenye ubora ni mara chache sana anamfunga yanga zaidi ya goli 3!!!
Yanga inafungwa 5 kwa 0, ulikua hujazaliwa au? Vipi ile 4 kwa 1 ?? Umesahau mara hii? Umelewa na kichapooo eeeh??
 
Back
Top Bottom