Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Baada ya kupoteza katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Yanga imerejea kwa kishindo na kuichapa CFFA ya Madagascar katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Yanga ambayo katika Raundi ya Kwanza iliiondoa Gaborone United ya Botswana kwa magoli 3-2 huku kiwango kikiwapa shaka mashabiki, imejiweka katika nafasi nzuri ya kucheza Hatua ya Makundi kwa kuwa inasubiri mchezo wa marudio unaotarajiwa kupigwa Oktoba 21, 2026 kwenye uwanja huohuo wa Azam Complex.