FT: Jangwani kumenoga | CFFA 0-4 Yanga SC | CAFCL | Azam Complex | 17 Oktoba, 2026

Narudia tena.

Engineer fukuza haraka sana tapeli Manqoba before it's too late.

Manqoba sio kocha wa level za Yanga.
Kocha kimeo, na pia namuona Hersi nae kiupepo cha kufanya scouting nzuri umeshakata tokea alipo muacha kumpa mkataba mpya Miloud ambaye alionesha yupo vizuri sana kiufundi
 
Nilitarajia Yanga angekuwa anaongoza kwa goli nyingi...hii Yanga yetu naona imepoa sana
 
Kocha kimeo, na pia namuona Hersi nae kiupepo cha kufanya scouting nzuri umeshakata tokea alipo muacha kumpa mkataba mpya Miloud ambaye alionesha yupo vizuri sana kiufundi
Wachezaji wazuri wote aliowasajili kipindi kile, scouting ilifanywa na Simba yeye akapita nao juu kwa juu. Simba walikuwa wanadelay kufanya malipo, mwamba akipenyezewa anapita nao, kwasasa Simba wanafanya mambo yao kimya kimya, lazima apoteane.
 
1792241704986.png
 
Stori za vijiweni hizo shekhe usiziamini sana, kwenye mpira unaweza kupatia au kukosea,mtizame dumbia na hiyo Simba yenye usajili Bora!!!
 
Jifunze kukaa kimya ili usioneshe hadharani huna akili.

Yule mzungu wa Simba aliyepewa kazi ya scouting amefanya nini? Kumsajili Doumbia ndio scouting ya kimyakimya?
 
Sawa, angalia sajili zote alizofanya baada ya hapo, ipi kapatia?
 
Jifunze kukaa kimya ili usioneshe hadharani huna akili.

Yule mzungu wa Simba aliyepewa kazi ya scouting amefanya nini? Kumsajili Doumbia ndio scouting ya kimyakimya?
Mzungu alishabwaga manyanga. Namna ya scouting zake zisingeweza kuleta matokeo chanya mapema. Sisi tunahitaji ready -made na sio vinginevyo.
 
Kocha kimeo, na pia namuona Hersi nae kiupepo cha kufanya scouting nzuri umeshakata tokea alipo muacha kumpa mkataba mpya Miloud ambaye alionesha yupo vizuri sana kiufundi
Miloud wa Misri walimpa mzigo mkubwa ndio maana akaondoka.
 
Back
Top Bottom