FT: Jangwani kumenoga | CFFA 0-4 Yanga SC | CAFCL | Azam Complex | 17 Oktoba, 2026

FT: Jangwani kumenoga | CFFA 0-4 Yanga SC | CAFCL | Azam Complex | 17 Oktoba, 2026

Sawa, angalia sajili zote alizofanya baada ya hapo, ipi kapatia?
Unataka kusema kangwanda ni mbaya?mtu MVP unasemaje mbaya?top stop scorer kama dumbia unasemaje mbaya?ni kamari tu,unaweza kuchagua sahihi 10 akafiti Mmoja au wote wasifitikamari!!!
 
Yanga endeleeni kuonea watoto mkijichanganya kwetu tutawapasua goli 10
 

Attachments

  • IMG-20261012-WA0028.jpg
    IMG-20261012-WA0028.jpg
    92.2 KB · Views: 6
Admin anawaacha wapiga Porojo wademke yeye anabadiri score board tu.
Ni 4G tayari.

Wale wakata viuno waendelelee kukosowa timu tunaingia kwenye makundi kwa kushindo.

Mechi ya marudiano tunaimaliza leoleo.
Uko sahihi Mkuu.
 
Utopolo kwa timu ile mnashindwa ata goli 7 kweli?

Utopolo mshapoteza uhalisia kwenye soka
 
Back
Top Bottom