YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,031
- 1,940
Jamaa wana nidham ya hali ya juu, la sivyo wangeoga nyingiYanga wanawakosakosa sana hawa jamaa
Jamaa wana nidham ya hali ya juu, la sivyo wangeoga nyingiYanga wanawakosakosa sana hawa jamaa
Hakika na wametulia sanaJamaa wana nidham ya hali ya juu, la sivyo wangeoga nyingi
Kangwanda kama Ronaldo.Kangwanda bwana sijui anajikuta nani
Safari hii itakuwa ni aibu huko makundiMakundi sijui itakuaje, bora tujivunje mapema!,
Mpaka saiv hajapata goli mtani, afu nimempa over 2.5 .Mjinga sana huyu
bwege sana amesha wadharau wapinzani alafu hakuna cha maana anafanyaKangwanda anacheza kifather sana.
Hilo niliona toka mechi ya ngao ya jamiiKangwanda anacheza kifather sana.
shida sio kocha, shida wachezaji wanacheza kidharau sanaNarudia tena.
Engineer fukuza haraka sana tapeli Manqoba before it's too late.
Manqoba sio kocha wa level za Yanga.