Kijamaa kinachukia kikifungwa, kinajiona kama kigolikipa cha Madrid kumbe kipo yangaHakuna hiyo, yule huwa akifungwa anapoteana kabisa, hujamsoma tu.
Yanga wamepiga bomu mochwareBaada ya kupoteza katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Yanga imerejea kwa kishindo na kuichapa CFFA ya Madagascar katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Yanga ambayo katika Raundi ya Kwanza iliiondoa Gaborone United ya Botswana kwa magoli 3-2 huku kiwango kikiwapa shaka mashabiki, imejiweka katika nafasi nzuri ya kucheza Hatua ya Makundi kwa kuwa inasubiri mchezo wa marudio unaotarajiwa kupigwa Oktoba 21, 2026 yanga uwanja huohuo wa Azam Complex.
Na ana masifa sana wakishinda, πππKijamaa kinachukia kikifungwa, kinajiona kama kigolikipa cha Madrid kumbe kipo yanga
Wamekuwepo sasa, na wamewakandaaaaaaaaaa!!!Huyo maema na mpanzu walikuwa wapi tulipowafunga mara Sita mfululizo au hawakuwepo?
Mtu anayetaka kulia anajulikana tu, Yanga imefungwa na Simba, mabao ya Mpanzu na Maema.Tangu Diarra aje yanga mmechukua ushindi kwa yanga mara ngapi??
Sisi tumewafunga mara Sita, Je nyie ?
Yanga inafungwa 5 kwa 0, ulikua hujazaliwa au? Vipi ile 4 kwa 1 ?? Umesahau mara hii? Umelewa na kichapooo eeeh??10 Haiwezekani labda 2 au 3,historia inaonesha Simba ikiwa kwenye ubora ni mara chache sana anamfunga yanga zaidi ya goli 3!!!
Nakusubr ππKwa mbindeee ππππ
Keshoo! Utaona pira biriani, pira sambusa.Nakusubr ππ
Sawa nasubiri ππKeshoo! Utaona pira biriani, pira sambusa.
ππππ
Usijariii πππSawa nasubiri ππ
Ushankupe tu hebu lalaUsijariii πππ
Umeshinda na huna furaha kabisa. AlooohUshankupe tu hebu lala