Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
unaongea upumbavu simba alipigwa 5 azam 4 nao wanafadhiriwaMimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania.
Ni vigumu sana kwa Yanga kuifunga timu ambayo haifadhiliwi na GSM.
Igekuwa Singida Big Stars hapa saa hizi yangekuwa 4-0, Yanga tunaongoza
Mpira umekwishaKwani umeisha
KochaLawama kwa nani Leo?
Haujaisha mpiraKwani umeisha
MatokeoMpira umekwisha
0-0Matokeo