FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Mimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania.

Ni vigumu sana kwa Yanga kuifunga timu ambayo haifadhiliwi na GSM.

Igekuwa Singida Big Stars hapa saa hizi yangekuwa 4-0, Yanga tunaongoza
unaongea upumbavu simba alipigwa 5 azam 4 nao wanafadhiriwa
 
Back
Top Bottom