FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Mimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania.

Ni vigumu sana kwa Yanga kuifunga timu ambayo haifadhiliwi na GSM.

Igekuwa Singida Big Stars hapa saa hizi yangekuwa 4-0, Yanga tunaongoza
Wewe sio Yanga, labda mamluki.
 
Hivi kesho Simba ikishinda
Chadhambi atafurahi au ata huzunika sana ?
Nasubiri jibu la uhakika na ukweli bila unafki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…