Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hajaona ShadeeyaShadeeya ukuje huku Mrs Chasambi kuna swali linakuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaona ShadeeyaShadeeya ukuje huku Mrs Chasambi kuna swali linakuhusu
Itakuwa anamhudumia Chasambi muda huu ila atakuja tu baadae, tumsubiri.Hajaona Shadeeya
Wewe sio Yanga, labda mamluki.Mimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania.
Ni vigumu sana kwa Yanga kuifunga timu ambayo haifadhiliwi na GSM.
Igekuwa Singida Big Stars hapa saa hizi yangekuwa 4-0, Yanga tunaongoza
🤣 🤣 🤣 🤣 kwingine kako ngangariWacha tumshitue shitue ndonga hiyo, hatuna mdogo mzembe mzembe, yanga ndio anakuwa hivyo akipigwa tukio la mapenzi si tutakakosa haka. 😂
Tena ni hamdala kiunoHahaha,eti Hamdala,umeiita Kisambaa kabisa!
Acha kwanza. Bado inaendelea katika Akili zetu.Moderator mmeacha Live Nyekundu mpaka sasa, ina maana hamuamini au vepe?🤣😂😂😂
Angalia namba post namba 2
Hivyo ulikuwa hujui kabisaa. 🤣🤣Hivi Yanga chasambi kujifunga ilikuwa inawafurahisha nini?
Usisahau kunitag tu.Thubutu
Hahahaaa. Swali lake limenishtusha hasaaa. Yaani hamkujua kinacho tufurahisha lakini mkawa mnafura balaa. 🤣🤣Shadeeya ukuje huku Mrs Chasambi kuna swali linakuhusu
Okay. Labda hivyo.Kesho afe kipa afe beki tunashindaaa
Tulikuwa tunafura maana badala ya kwenda vingunguti kutafuta Vibuduz kwa ajili ya supuz za Bure nyie mkawa bize na chasambi😆Yaani hamkujua kinacho tufurahisha lakini mkawa mnafura balaa. 🤣🤣
Ni Ubaya Ubwela yanOkay. Labda hivyo.
Subira ya vuta heri 😂😂mtasubiri sana.🤣
Hakuna fundi hapa km vipimo tu huwezi sa itakuaje ukipewa site 😂😂Matokeo ya leo ni 1-4View attachment 3231750
Yupo serious bhana we punguza tu matani na ndipo utauona userious wakeMtani wangu @Allen Kilewella hayuko Serious kwa kweli.
Aahh, hapo sawa. 🤣🤣 🤣 🤣 🤣 kwingine kako ngangari