Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sometimes yes sometimes no. 🤣🤣Ukiona utopwinyo anaongoza ligi basi ujue Simba hajacheza...
Mechi ya wanaume ni kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes yes sometimes no. 🤣🤣Ukiona utopwinyo anaongoza ligi basi ujue Simba hajacheza...
Mechi ya wanaume ni kesho
Yaan tushindwe sisi aiseeeDalili za mvua ni mawinguu..
Simba Bingwaaaaa
Acha hizo basi na wewe 😔 kwani tunacheza na nani?Cheza mechi zetu mwanangu,
Afu mechi inayokuja una draw tena, 1-1
Pole kitoto..hebu acha kushadadia mipira tuachie dada zako hahahahaNimelia sana, leo hata kula sili😔
Mpelekee na maji ya kunywa apoze maumivu 😂Hujambo wapi Bwana sema kweli umeumiaaaa Mrs Chasambi😅😅
Sawa mdogo wangu we tuchambe tu. 🤣🤣Nimefurahi vibaya mno....
Walikuwa busy kufagia kwa jirani wakasahau kufagia kwao😄
Kubet mhindi atakusumbua fungua kanisa una nyota ya unabii😀Sio nianze kubet mkuuu😂😂😂
Lol. Kausha basi Mkuu.Mpelekee na maji ya kunywa apoze maumivu 😂
Wanatunga sheria hapo,wanatani waseme kocha hajui ila ndio kwanza wamempokea leo kwenye official games
😃😃😃😃😃Iv leo ndo walisema kutakuwa na maokoto kwa ajili ya chasambi😀
Tulia Mr Chasambi jibu utalipata keshoSometimes yes sometimes no. 🤣🤣
Kama yule dada aliomba maji ya Kunywa kwenye shooMpelekee na maji ya kunywa apoze maumivu 😂