The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Dada kwanza salimia watu ujue watakupiga hapaKila nafsi itaonja u-draw 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada kwanza salimia watu ujue watakupiga hapaKila nafsi itaonja u-draw 😂
Ulikotoka huyo kocha mpya wamepigwa 2 bila...Hii timu hii 😃😀😀😀😀
Umeshasahau kama kuna muda hao Prisons wanawakaziaga.Tulia Mr Chasambi jibu utalipata kesho
Haswaa 😂😂Kama yule dada aliomba maji ya Kunywa kwenye shoo
Dada kwanza salimia watu ujue watakupiga hapa
Yaani inataka kuwa kama gari la Mkaa. Pyeee.Hii timu hii 😃😀😀😀😀
Naitwa Ladack Chasambi Isamunyo sijui mwenzangu naniiDada kwanza salimia watu ujue watakupiga hapa
Nisamehe bure Dada kipenzi...Sawa mdogo wangu we tuchambe tu. 🤣🤣
Tunakataaje sa.
watafanya ivo siku ya nyau wala hakuna shidaYanga bila figusu hakuna kitu. Leo wameshindwa kuhonga wachezaji na wameshindwa kuruka ukuta pia hawakuweza kujidunga sindano zao kenge sana hawa
Waliwakazia wale wazee tukawatimua, nao tupo na damu mchanga wajela jela watapigwa ndani njeUmeshasahau kama kuna muda hao Prisons wanawakaziaga.
Si mnaongozaNimelia sana, leo hata kula sili😔
Huna njaa weww.Nimelia sana, leo hata kula sili😔
Usiseme hivyo😒 ndio napanda kitandani nilale.Huna njaa weww.
SawaAvatar yako ina reflect ulichosema. Hujui chochote
Kulala ni anasaUsiseme hivyo😒 ndio napanda kitandani nilale.