Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Imekuwaje leo ikazuiliwa?unahangaika mkuu,yanga haizuiliki,haishikiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuwaje leo ikazuiliwa?unahangaika mkuu,yanga haizuiliki,haishikiki
Vipi mkuuu bado tusubirimtasubiri sana.🤣
ThubutuUsijali mdogo wangu.
Japo mi nitafurahi zaidi kesho mtakapotoa sare na Askari Magereza.
Hahaha,eti Hamdala,umeiita Kisambaa kabisa!Kocha wetu hamdi a.k.a HAMDALA.
Playing style ndio hio.
Kuku huyu huyuDua la kuku......!
Kibogo ndio nini tena mkuu?kidogo waliwe kiboga![]()
Na imetimiaNaiona sare
Halafu kocha waliemuiba ni kilaza pro max 😂
a.k.a kisamvuKibogo ndio nini tena mkuu?
Kwamba ni neno geniKibogo ndio nini tena mkuu?
Kabisa bwasheeKwamba ni neno geni
bado sijakusoma kwa uzuri master😆a.k.a kisamvu
Kilaza pro maxHalafu kocha waliemuiba ni kilaza pro max 😂
Kesho afe kipa afe beki tunashindaaaUsijali mdogo wangu.
Japo mi nitafurahi zaidi kesho mtakapotoa sare na Askari Magereza.
Halafu kocha anashambulia kama kichaa aisee hersi anajua kuwapiga mwiko nyuma anajiokotea tu vituHalafu kocha waliemuiba ni kilaza pro max 😂
Walichokifanya JKT leo kitaalamu kinaitwa operation kata ngebe😂Kilaza pro max
Shadeeya ukuje huku Mrs Chasambi kuna swali linakuhusuHivi Yanga chasambi kujifunga ilikuwa inawafurahisha nini?