FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

Game iko wazi hii Yanga wakiendelea hivi wanashinda
 
Gooooaaal

ni yule yule Pacome aka mtu wa kalikiti anaipatia Utopolo goli la 2
 
Mechi zilizobaki zimekosa msisimko.

Mnyama amepotea, mechi zimetepeta sana.
 
Back
Top Bottom