FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

Kwenye hivi viwanja ni kutumia vizuri chance zitakazo patikana kupitia kona au faulo basi.
 
TFF na Bodi ya Ligi haiko makini, hii ni aibu. Wanapaswa kujitafakari kama nafasi zao zinawatosha
 
Kwa kuruhusu ueanja huu kutumika wakati options zipo, ni rasmi kwamba TFF ni miongoni mwa maadui wakuu wa soka la Tanzania.
 
Back
Top Bottom