FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Sikutizama game hiyo, siwezi kuhukumu, nasema nikionacho, jwanenga wanacheza hovyo, ahida ni simba nasi tunacheza hovyo tunashindwa kuwaadhibu kwa makosa yao.
Mkuu, rekodi yao hii hapa kwenye haya mashindano. Hawapo hapo kwa bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…