Hata hiyo mechi ya waydad sio kwamba walicheza vizuri, hapana walicheza mpira wa ovyo tu(ant-football playing style) kama huu unao uona hapa... Maana waydad walishambulia sana sema hawakuwa clinical kwenye finishing, watu walipigiwa Kona 14 kwa 1, mashuti 11 kwa 1...Sikutizama game hiyo, siwezi kuhukumu, nasema nikionacho, jwanenga wanacheza hovyo, ahida ni simba nasi tunacheza hovyo tunashindwa kuwaadhibu kwa makosa yao.
Ana ubishoo usio na faida.Onana anakimbia kama vile ana kinyesi kwenye makalio. 😂🤣
Kavurugwa...Ana ubishoo usio na faida.
Kuna sub lazima zifanyike ili tushinde.Ana ubishoo usio na faida.
Hata siangaliagi mechi mkuu.Naombeni link ya kuangalia mechi
Hakuna timu Simba wanacheza mpira wa ovyo sanaaaaHakuna njia kabisa. Jamaa wanajua kukaba njia.
Ni kama ana kibunzi makalioni 🤣😂Ana ubishoo usio na faida.