Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Na wakikufunga ndo unaelewa kumbe ni hatari hawa. Jamaa hawatoi mianya na ikitokea wanajua kurudi haraka sana.Hawa ndio mchezo wao kama hawawezi kumbe wanaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wakikufunga ndo unaelewa kumbe ni hatari hawa. Jamaa hawatoi mianya na ikitokea wanajua kurudi haraka sana.Hawa ndio mchezo wao kama hawawezi kumbe wanaweza
Dah! Maajabu. Unatizama mechi ya Jwaneng na Simba kweli?Kiukweli hatuna timu.
Papatu papatu. Huoni mipango yoyote.
Saidoo hana alichobakiza. Onana mpuuzi tu.
Hapana aisee..
Si mliwatakia ushindi mnonoSio Paulo....? Ai Sila mtasema yote leo
Kanoute mzee wa kadi na leo asipopata red sijui
Match Day
[emoji471]CAF Champion League
[emoji460] Jwaneng Galaxy vs Simba
[emoji2522] Francistown Stadium
[emoji2783] 02.12.2023
[emoji354] 1600hours (EAT)
Kikosi cha Jwaneng' Galaxy kinachoanza.
View attachment 2831454
Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2831455
All the Best Mnyama.
Updates...
Sasa ni Saa Tisa na Dakika 25 Alasiri.
Hali ya hewa ya Dar es Salaam ni ya joto kidogo, maeneo mengi yana mawingu ya hapa na Pale...
Zimebaki dakika 34' tu kipute hiki kianze.
Huko FrancisTown Stadium.
Saa 9:55 Alasiri, team ndio zinaingia Uwanjani sasa,
Uwanja unaonekana kuwa na mashabiki wachache sana.
Simba atacheza ugenini bila pressure ya Mashabiki...
10:00 jioni.
Mpira umeanza na Walionzisha ni Jwaneng'
Dakika 0' sekunde ya 55 Simba wanakosa goli la wazi hapa
Dakika 2'
Onana anapiga mpira unatoka nje inakuwa goli kick
Dakika 3'
Kibu anacheza faulu hapa.
Dakika 8'
Simba waapata faulu nje kidogo ya 18.
Inapigwa vizuri ,
Kipa wa Jwaneng' anaokoa
Dakika 9'
Jwaneng' wanakosa goli hapa
Dakika 10'
Jwaneng' wanapata kona ya kwanza.
Inapigwa lakini haileti madhara yoyote
Dakika 12'.
Tumeotea. (offside)
Dakika 13'
Ngoma anapiga shuti kali , linapaa juu inakuwa goal kick.
Dakika 16'
Jwaneng' wanapata faulu.
Inapigwa anadaka vizuri kipa wetu Ayubu
Kuna mzozo unatokea hapa.
Baleke amechezewa vibaya lakini refa anauchuna
Dakika 19'
Kipa wa Jwaneng' anafanyiwa matibabu .
Mpira umesimama kidogo
Dakika 21'
Simba tunachezea nafasi ya wazi hapa.
Mpira hautulii kabisa mguuni.
Wakati huo huo Kibu D yuko chini. kafanyiwa faulu
Dakika 24'
Tunakosa tena goli la wazi kabisa hapa
Dakika 26'
Jwaneng' wanapiga faulu ila inatoka nje inakuwa goal kick
Dakika 27'
Baleke anakosa tena hapa.
Huku Possession ikiwa ni Sisi 71%
Wao 29%
Dakika 29'
Saido anachezewa faulu inapigwa haileti mafanikio
Dakika 31'
Mpira umesimama kwa Dakika 1
Wanakunywa maji.
Joto ni kali.
Dakika 33'
Game On...
Simba tunahitaji utulivu kidogo tu hawa watu wanapigika
Dakika 34'
Baleke anakosa tena
Dakika 35'
Jwaneng' wanafanya shambulizi lakini halizai matunda.
Hawa jamaa ni wepesi sana
Dakika 37'
Inapigwa faulu kuelekea Simba.
Mohamed Hussein anaondosha
Jwaneng' wanapata kona ya Pili hapa
Inapigwa haizai
Dakika 39'
Game On..
Simba wanatawala mpira ugenini
Dakika 40'
Simba tunapata kona ya kwanza
Dakika 41'
Tunapata faulu eneo zuri sana.
Saidoo nyuma ya mpira.
Inpigwa kipa anadaka mpira
Dakika 43'
Mpira unarushwa kuelekea simba.
Anarusha moja kwa moja Ayubu anadaka
Dakika 44'
Jwaneng' anapata kadi ya njano kwa kujaribu kumdanganya refa.
Amejirusha makusudi kabisa ndani ya box
Dakika 45' +1
Tunapata faulu eneo zuri sana.
Anapiga Saidoo ila inaokolewa na Kipa wa Jwaneng'
Dakika 45' + 3
Kanoute anapigwa Yellow.
Mpira ni HT.
Dakika za kipindi cha kwanza zimetamatika hapa.
Bila bila...
Tukutane tena kipindi cha pili.
#Nguvumoja#...
Sikutizama game hiyo, siwezi kuhukumu, nasema nikionacho, jwanenga wanacheza hovyo, ahida ni simba nasi tunacheza hovyo tunashindwa kuwaadhibu kwa makosa yao.Na wydad si kafungwa na huyu juzi? Nao ni wabovu?
Hii gemu simba anashinda 2:0Kila la heri kwa wanang wa Msimbazi
Hata ukiisha mmeshinda haibadilishi kuwa Simba ni Mbovu Sana . .Tena hii ilikuwa halft time tu mshinde ...Tulia kidogo mpira uishe
Mkuu Jamaa data zao kwenye haya mashidano kufungwa ni 20%, 60% droo.... Wanajua wanachokifanya sidhani kama wanaotea.Kuotewa kupo....
Hii mechi tuongeze umakini tushinde,
Mkuu unaziona 2 hapo?Hii gemu simba anashinda 2:0
Kwakweli kipindi cha kwanza tumecheza mpira mzuri sikutarajia.Dah! Maajabu. Unatizama mechi ya Jwaneng na Simba kweli?
Nadhani inawezekana. Tayari unaweza kuona mabadiliko kutokana na huyu kocha mpya.Tutawapiga Wydad home and away
Inahitajika kazi ya ziada kuwafunga sio mizaha ya kina onanaMkuu Jamaa data zao kwenye haya mashidano kufungwa ni 20%, 60% droo.... Wanajua wanachokifanya sidhani kama wanaotea.
Huyo jamaa ni mamluki siyo Simba huyo.😀Kwakweli kipindi cha kwanza tumecheza mpira mzuri sikutarajia.
Ila maalim usisahau haohao juzi wamempiga mwanafainal wa African super leagueHawa jwaneng nikiwakusanya wale wanangu wa mtaani ambao tulicheza futiboli pamoja, mazoezi ya mwezi tu, hawatufungi hawa kenge.
Simba tumeshuka sana kiwango.
Ni ujinga kuwaza vya zamaniZile 5 zilikuwa za haki