FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Mnyama huyo anaelekea makundi ya Cacl nyie uto mpo dimbwini.
Mna bahati sana kuanza na ka timu ka hovyo kama haka! Huko makundi tutarajie aibu kubwa msimu huu! Naziona zile hamsa zikirejea
 
Uto, ujumbe wenu huu

Your browser is not able to display this video.
t
 
Ukiwatafakari Utopolo Utagundua WanaipePENDA saaana Michuano hii ndo maana Wapo wengi humu na 'husda' Zao...Tatizo ni Timu Yao haikazi roundi ya wapi Chaliiii...!
Msukule Uliwadanganya Kuwa DOMO lake ndo kila kitu. Kumbe inahitaji kuwa na Timu Ya Ushindani.
 
Ukikumbuka kuwa hao unaowaita vibonde walianzia hatua ya awali kama wewe lakini mpaka sasa bado wapo kwenye hii hatua ya kwanza, hauwezi kuwaita vibonde labda kama una utindio wa ubongo.
Hawa ni vibonde.,......
toka lini makhiri khiri wakajua mpira !!??
ww kichaa nini
 
Mna bahati sana kuanza na ka timu ka hovyo kama haka! Huko makundi tutarajie aibu kubwa msimu huu! Naziona zile hamsa zikirejea
Kama UTO mlivyopata bahati ya kukutana na kibonde Rivers
Mpaka sasa Rivers kashapigwa 1 na yuko nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…